English

Kozi kwa mwaka 2024

Dar-es-Salaam Tanzania


Jemolojia
siku 5 kwa
US$ 300.-
Ukataji wa madini ya vito
wiki 1 kwa
US$ 300.-
Ukataji wa madini ya vito
wiki 2 kwa
US$ 500.-
Ukataji wa madini ya vito
wiki 4 kwa
US$ 870.-
Ukataji wa madini ya vito
wiki 10 kwa
US$ 1'250.-
Kazi ya uchongaji
wiki 2 kwa
US$ 500.-
Darasa la waksi modo na kasti
wiki 1 kwa
US$ 450.-

Usonara
wiki 1 kwa
US$ 325.-
February 5th - 16th February 5th - March 1st         New
February 19th - March 1th
        New
June 24th - 28th June 17th - Aug. 23th July 22th - 26th
Dec. 16th - 20th Dec. 9th - 13th Dec. 2nd - 13th
Nyaraka za kozi zinapatikana kwa: Kiingereza, Kiswahili, Kifaransa, Kijerumani,
Kwa madarasa ya lapidary kwa kuongeza: Uhispania na Kireno.

Nafasi zinatolewa kwa mfumo wa atakayewahi kuja ndiye atakayehudumiwa kwanza (first come first serve basis). Nafasi yako itatunzwa mara tu baada ya malipo ya ada kukamilika. Wahi kwani nafasi za wanafunzi ni chache.
Usajili kwa ajili ya darasa.

Mafunzo kazini kwako na huduma za ziada - Darasa la uwalimu wa ukataji wa madini ya vito.

Mashine na vifaa vya lapidari na jemolojia kwa darasa la watu 20, 12 au 6.

Gemstone Safari elimu kwa vitendo ya jiologia na jemolojia, utangulizi wa jiologia ya Tanzania pamoja na kutembelea migodi tofauti tofauti. Januari na Julai.

Hoteli zilizopo karibu nasi


Noreen Masaki akikabidhi cheti kwa mwanafunzi aliyehitimu mafunzo ya ukataji wa madini ya vito.


Have a look into the class room with a faceting class under way 2019.




Tunatarajia kukukaribisha wewe kama mwanafunzi wetu mpya, tukiangalia ujuzi wako na maisha yako yakiendelea na kuwa ya mafanikio.



Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki