English

Darasa la waksi modo na kasti

Kasti na waksi modo kutoka Noreen Masaki Lapidary Training Centre - Dar es Salaam.

Kwa wiki moja utajifunza kutengeneza maumbo ya vitu mbalimbali kwa kutumia nta maalumu na baadae kuvikasti kwenye madini ya fedha. Nitakufundisha mbinu zifuatazo: lost wax casting, centrifugal casting, soapstone casting and sand casting. Nitakuelekeza kwa usahihi jinsi ya kutumia vefaa vyote kwa usalama. Si lazima uwe na ujuzi au kiwango maalumu cha elimu ili kujiunga na kozi hii. Zana za kufundishia zipo kwa ajili yako.

Baada ya kozi hii ya wiki moja, itawezekata kukodisha chumba cha darasa kwa mazoezi zaidi. Mwalimu atakuelekeza kama utakuwa na maswali.


Masomo yataanza saa 3 kamili asubuhi hadi saa 11 kamili jioni na kutakuwa na mapumziko ya saa moja.
Ada ya kozi hii ni US$ 450.-

Usajili kwa kozi ya kasti na waksi modoKazi na matokeo ya darasa hili

Kazi na matokeo ya darasa hili
Ni furaha ya namna gani kumwanzishia mwanafunzi dhana na kuona jinsi akuavyo na kupata mwelekeo na uvumbuzi mpya.Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo
logo

Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki