Dar-es-Salaam Tanzania
Jemolojia siku 5 kwa US$ 300.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 1 kwa US$ 300.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 2 kwa US$ 500.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 10 kwa US$ 1'250.- |
Casting & wax modeling wiki 1 kwa US$ 450.- |
Usonara wiki 1 kwa US$ 325.- |
---|---|---|---|---|---|
Dec. 18th - 22th | Dec. 11th - 15th | Dec. 4th - 15th | |||
Kwa madarasa ya lapidary kwa kuongeza: Uhispania na Kireno. |
Dar-es-Salaam Tanzania
Jemolojia siku 5 kwa US$ 300.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 1 kwa US$ 300.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 2 kwa US$ 500.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 4 kwa US$ 870.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 10 kwa US$ 1'250.- |
Casting & wax modeling wiki 1 kwa US$ 450.- |
Usonara wiki 1 kwa US$ 325.- |
---|---|---|---|---|---|---|
February 5th - 16th | February 5th - March 1st | |||||
June 24th - 28th | June 17th - Aug. 23th | July 22th - 26th | ||||
Dec. 16th - 20th | Dec. 9th - 13th | Dec. 2nd - 13th | ||||
Kwa madarasa ya lapidary kwa kuongeza: Uhispania na Kireno. |
Nafasi zinatolewa kwa mfumo wa atakayewahi kuja ndiye atakayehudumiwa kwanza (first come first serve basis). Nafasi yako itatunzwa mara tu baada ya malipo ya ada kukamilika. Wahi kwani nafasi za wanafunzi ni chache.
|
Usajili kwa ajili ya darasa. Mafunzo kazini kwako na huduma za ziada - Darasa la uwalimu wa ukataji wa madini ya vito.
Mashine na vifaa vya lapidari na jemolojia kwa darasa la watu 20, 12 au 6.
Gemstone Safari elimu kwa vitendo ya jiologia na jemolojia, utangulizi wa jiologia ya Tanzania pamoja na kutembelea migodi tofauti tofauti. Januari na Julai. |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki