English

Kozi ya usonara

Usonara - Lapidary Training Centre - Dar es Salaam.

Kwa wiki moja utajifunza mbinu tofautitofauti za msingi za usonara. Mbinu hizo ni pamoja na: forging, foldforming, rolling, riverting, bending, texture, sanding and polishing. Utaruhusiwa pia kuleta kito chako ili ukitumie wakati wa kuseti. Kwa hiyo utajifunza pia namna ya kuseti na kuambatanisha kwa usalama kito kwenye pete au kidani. Darasa lenye vifaa vya kujitosheleza lipo kwa ajili yako. Mwalimu mwenye uwezo na uzoefu wa kutosha atakufundisha hatua kwa hatua na utaweza kutengeneza vito viwili au zaidi.

Baada ya wiki hii moja, itawezekana kukodisha chumba cha darasa uendelee na mazoezi kwa wiki moja au zaidi ili upate uzoefu wa kutosha kwenye hii fani yako mpya. Mwalimu atakuwepo na kukusaidia endapo utakuwa na swali lolote.


Masomo yataanza saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni na kutakuwa na mapumziko ya saa moja.
Ada ya mafunzo kwa wiki moja ni US$ 325.-

Usajili kwa kozi ya usonara



Kazi na matokeo ya darala la usonara - 2019















Matokeo ya darasa la awamu ya tatu

























Wanafumzi na vito vilivyotengenezwa kwenye darasa la awamu ya pili

























Darasa la awamu ya kwanza






























Ni furaha ya namna gani kumwanzishia mwanafunzi dhana na kuona jinsi akuavyo na kupata mwelekeo na uvumbuzi mpya.



Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki