English

Matukio yajayo

Tanzania

Kozi nzina ya ukufunzi wa ukataji na ung'arishaji wa madini ya vito
June 19th - August 25th 2023
Jumla wiki 10
- Mpya - kozi nzima ya ukufunzi wa ukataji na ung'arishaji wa madini ya vito. Kozi hii inajumuisha utangulizi wa kina kwa somo la jemolojia, ukataji na ung'arishaji vito (cabochon and faceting) vya thamani kwa kutumia mashine za Ultra-Tec V5 za kidijitali.

Ziara ya kutembelea machimbo ya bonde la Mto Umba - Tanzania
July 5th - 19th 2023
Jumla siku 14
Ziara ya kutembelea machimbo maarufu ya bonde la Mto Umba - Tanga ikifuatiwa na siku 5 za ukataji wa madini ya vito Dar-es-Salaam. Kiongozi wa ziara hiyo akiwa ni mataalamu katika fani ya ukataji na ung'arishaji wa vito - Noreen Masaki.

Umba mining area
July 5th - 22rd 2023
Total 17 days
Join an exploration trip to Umba mining area and several other places, with the option of participating in a 3 day faceting class on Ultra-Tec V5 digital faceting machines.

Faceting class in Dar-es-Salaam
December 11th - 15th 2023
Total 5 days by appointment
Intensive training with master gem cutter Noreen Masaki on Ultra-Tec V5 digital faceting machines.

Gemology class
December 18tht - 22nd 2023
Total 5 days
An intensif introduction to gemstone identification covering rough and cut gems. With the master gem cutter Noreen Masaki.

________________

Umba mining area
January 10th - 27th 2024
Total 17 days
Join an exploration trip to Umba mining area and several other places, with the option of participating in a 3 day faceting class on Ultra-Tec V5 digital faceting machines.

Ziara ya kutembelea machimbo ya bonde la Mto Umba - Tanzania
January 10th - 24th 2024
Jumla siku 14
Ziara ya kutembelea machimbo maarufu ya bonde la Mto Umba - Tanga ikifuatiwa na siku 5 za ukataji wa madini ya vito Dar-es-Salaam. Kiongozi wa ziara hiyo akiwa ni mataalamu katika fani ya ukataji na ung'arishaji wa vito - Noreen Masaki.

Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki