English

Mafunzo binafsi ya ukataji wa mawe (lapidary)

katika darasa lako au chuo chako au kiwanda chako.

Mafunzo binafsi ya ukataji wa mawe (lapidary)
  • Tutafundisha wakataji wako kwa kutumia vifaa vyako.
  • Tupo tayari kurasiri kwenye nchi zote za bara la Afrika.
  • Lugha ya kufundishia ni kiingereza au kiswahili.
  • Mwalimu atapatikana kwa lugha nyinginezo kama vile kijerumani, kifaransa na kiitaliano pale itakapohitajika.
  • Pia vitabu vya kufundishia darasani vitakuwepo kwa lugha hizo.
  • Kitakachohitajika ni machine moja kwa mwanafunzi mmoja kwenye darasa la ukataji wa mawe (lapidary).
  • Tunafundishia mashine za Ultra-Tec na mashine zozote zenye mlingoti.
  • Vile vile tutaweza kufundishia mashine zisizokuwa za mlingoti (yaani handpiece).

Mafunzo ya uwalimu wa ukataji wa mawe

  • Tunaweza kukusaidia kuanzisha darasa lako
  • na kufundisha walimu wako

Kufungua na kukujaribia mashine na vifaa vyako vyote vya darasani

Ndio unaweza - kushindana na wataalamu walio bora.

Wasiliana nasi ututumie mahitaji yako. Tutakujibu.           Mawasiliano






Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo
logo

Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki