English

Madini ya vito yaliokatwa na kungàrishwa na Paul Alexander Makunda.

Huduma ya ukataji wa madini ya vito Dar-es-Salaam.

Jipatie mawe yako yaliyokatwa na kungàrishwa. Ninakata kwa mngào, kwa mashine iliyobora na kwa vielelezo vya kisasa. Usisite kutuma vieleleyo unavyovipendelea pamoja na mawe yako ili yakatwe na kungàrishwa. Ninatoa huduma nzuri iliyobora kwa gharama nafuu.

Paul Alexander Makunda
P.O.Box 12205
Dar-es-Salaam
Tanzania
+255 788 728 472
makunda_2000@yahoo.com

Garnet
Garnet 6.9 ct
Citrine
Citrine 10.00 ct
Citrine
Citrine 11.35 ct
Quartz
Quartz 4.8 ct
Citrine
Citrine 18.15 ct
Citrine
Citrine with frosted facets 10.5 ct



Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki