English

Uswizi, milima ya alps

Kwenye milima hii hupatikana madini mbalimbali kama vile: Adular na Quartz yenye chlorite inclusions.



















Mineral exploration and crystal hunting is an interesting task to the lapidary.
Nilifurahia kuona ni kwa jinsi na mahali gani ambako madini ya Uswizi hupatikana.
Karibu na kijiji cha Bitch - Naters kwenye milima ya alps nilipata madini ya adular na rock crystals.
Marco na Christine kutoka kikundi kidogo kinachojishughulisha na utafutaji wa madini nchini humo, waliniongoza na kunionyesha moja ya sehemu zao ambako huchimba madini. Ilikuwa ni siku ya furaha sana kwetu.



Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki